• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Saturday, June 25, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

NMB yazindua MastaBata

Katika kampeni hiyo, zaidi ya Sh. 100 milioni zitashindaniwa.

Patricia Richard by Patricia Richard
December 12, 2018
in BENKI
0
Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Kadi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (katikati) akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo (hawapo pichani) kuhusiana na kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ inayojulikana kama ‘MastaBata’, ambapo wateja wanaofanya malipo mbalimbali kwa kutumia mfumo huo watajishindia fedha taslimu, simu janja pamoja na safari ya kwenda mapumzikoni Dubai. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki na Mauzo wa NMB, Omari Mtiga.

Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Kadi wa Benki ya NMB, Boma Raballa (katikati) akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo (hawapo pichani) kuhusiana na kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ inayojulikana kama ‘MastaBata’, ambapo wateja wanaofanya malipo mbalimbali kwa kutumia mfumo huo watajishindia fedha taslimu, simu janja pamoja na safari ya kwenda mapumzikoni Dubai. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki na Mauzo wa NMB, Omari Mtiga.

Share on FacebookShare on Twitter

Benki ya NMB imezindua kampeni iliyopewa jina la ‘MastaBata’ ambapo wateja wanaofanya malipo kupitia mifumo wa ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ watashinda fedha taslimu, simu janja pamoja na safari ya kwenda Dubai. Mkuu wa Kitengo cha Biashara za Kadi wa benki hiyo, Boma Raballa amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuwa, katika kampeni hiyo zaidi ya Sh. 100 milioni zitashindaniwa.

Raballa ameeleza kuwa, takribani wateja 200 wa NMB ambao watafanya malipo kupitia  ‘NMB Mastercard au ‘NMB Masterpass’ watakuwa kwenye uwezekano wa kushinda zawadi mbalimbali na kuongeza kuwa shindano hilo litaendeshwa kwa muda wa miezi miwili, lengo likiwa ni kuwahamasisha wateja kutumia ‘NMB MasterCard’ kulipia huduma na bidhaa kwenye vituo vya malipo hayo (POS) au malipo kutumia mtandao (E-commerce).

“Kampeni hii licha ya kuhamasisha matumizi ya malipo kwa kutumia kadi pia imelenga kuwazawadia wateja wetu ambao wanaenda sambamba na safari ya mabadiliko kuingia mfumo wa huduma za kidigitali za kibenki”. Amesema Raballa.

ADVERTISEMENT

Aidha, Mkuu huyo wa kitengo amesema washindi 20 watapatikana kila wiki na watajishindia Sh. 100,000 ndani ya kipindi hicho cha miezi miwili, huku washindi wengine 6 wa mwezi wakiondoka na simu janja za kisasa ‘Samsung S9+’ na washindi wengine 3, kati yao wawili watajishindia safari ya mapumziko iliyolipiwa kila kitu kwenda Dubai.

 

Tags: fedhaMastaBataNMBNMB MastercardNMB Masterpass’
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mh.Dan Kazungu akiongea na pesatu.com.

Balozi ahimiza ushirikiano wa kiuchumi

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In