• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Thursday, March 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara

Unafahamu namna bora ya kuandaa mpango wako wa biashara? Ni vitu gani havipaswi kukosekana katika mpango huo?

Patricia Richard by Patricia Richard
November 14, 2018
in BIASHARA
0
Watumishi wapikwa uombaji mikopo
Share on FacebookShare on Twitter

Biashara yoyote ile inapaswa kuwa na mpango wa biashara. Mpango wa biashara unasimama kama mwongozo na vilevile unahitajika ili kuwavutia wawekezaji na kuwapa picha halisi ya muelekeo wa biashara yako. Watanzania wengi hawana utaratibu huu. Wengi bado huanzisha biashara kiholela, hali ambayo si salama kama lengo ni kuona biashara yako inafika mbali.

Hivyo basi, Unafahamu namna bora ya kuandaa mpango wako wa biashara? Ni vitu gani havipaswi kukosekana katika mpango huo? Japokuwa kuandaa mpango wa biashara inaweza kuwa ni changamoto kwa walio wengi, hizi ni baadhi ya hatua ambazo unaweza kufuata ili kuandaa mpango wako wa biashara.

ADVERTISEMENT
  1. Fanya utafiti
  • Ni lazima ufanye utafiti na kuelewa vizuri bidhaa yako, kufahamu soko lako ni nani hasa, kujua ni namna gani unaweza kuwavutia wateja na vilevile kuwashawishi kuendelea kuwa wateja wako wa muda mrefu.
  1. Fahamu lengo la mpango huo
  • Wakati unaandaa mpango wako ni vizuri kufahamu ni nini hasa unalenga kupata kutokana na mpango huo. Kila mfanyabiashara huwa na malengo tofauti. Ni vizuri kuwa na lengo kuanzia mwanzo na kuweka lengo hilo wazi katika mpango wako.
  1. Andaa wasifu wa kampuni
  • Wasifu unahusisha masuala kama historia ya kampuni, huduma zinazopatikana, nani hasa ni wateja wako na vilevile kitu kinachotofautisha biashara yako na nyingine. Ni vizuri kuwa na tovuti ili kuvutia wateja au wawekezaji.
  1. Usiache kitu katika mpango wako
  • Wakati unaandaa mpango wa biashara ni muhimu kutoacha jambo lolote. Hii inasaidia kumuonyesha muwekezaji ni namna gani unatumia na kutengeneza fedha. Ni muhimu kuhusisha masuala kama kodi na matumizi ya fedha katika mpango wako ili kutengeneza picha halisi kwa wawekezaji na wadau wengine.
  1. Kuwa na mkakati wa masoko
  • Mpango mzuri wa biashara lazima uwe na kipengele hiki. Mkakati wa biashara lazima uonyeshe malengo na mbinu za kufanikisha malengo hayo. KIla biashara inadhamiria kupata wateja zaidi, kuweka bidhaa mpya sokoni na kuipeleka biashara mbele kwa ujumla.
Tags: Mpango wa biasharasokowawekezaji
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation,Sandra Oswald (katikati )  akiwa pamoja na wanafunzi  wa shule ya sekondari  Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam, wakielekezwa  na  mtaalam wa ubunifu wa kazi za mikono Flora  Richard   jinsi ya kutengeneza bangiri za batiki wakati wa Tamasha la Kuwa Mjanja  ambalo ni maalumu kwa ajili ya vijana kupata elimu ya Afya  iliyoandaliwa na PSI  kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania Foundation.

Vodacom Foundation yatoa elimu ya afya kwa vijana

Discussion about this post

Habari Mpya

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

March 30, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

March 28, 2023
Lusaka-Zambia. Picha|Mtandao

Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa Zambia

March 27, 2023
Waziri  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda.

Waziri wa Elimu azungumza na Benki ya Dunia

March 27, 2023

Bilioni 647.5 kuitoa Kagera gizani

March 17, 2023
Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba.

44.4bn kutumika matumizi ya kawaida na maendeleo

March 13, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Serikali, Benki ya Dunia wajadili ushiriki Sekta binafsi

by Pesatu Reporter
March 30, 2023
0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Msiwabanie vijana wajasiriamali: Majaliwa

by Pesatu Reporter
March 28, 2023
0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza viongozi wa Mkoa wa Simiyu wasiwabane wajasiriamali, wawaelimishe na kuwapa miongozo ili wajiendeleze kiuchumi. Majaliwa...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In