• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, June 27, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Mvua Dar yasababisha vifo 12, mamia wakosa makazi

12 wapoteza maisha kwa mafuriko Dar es Salaam

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
October 15, 2020
in BIASHARA
0
Mvua hiyo ilinyesha kuanzia alfajiri October 13. Picha| Said Khamisi/ DW

Mvua hiyo ilinyesha kuanzia alfajiri October 13. Picha| Said Khamisi/ DW

Share on FacebookShare on Twitter

Dar es Salaam. Takribani watu 12 wamefariki dunia kwa mafuriko kutokana na mvua kubwa  iliyonyesha October 13 jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge  amesema kati ya vifo 12, vifo nane vimetokea Ilala na vinne Kinondoni.

Amesema waliopoteaza maisha Ilala ni wanaume sita na wanawake wawili huku Kinondoni wakiwa ni wanaume pekee.

“Vikosi vyetu vya kushughulikia maafa pamoja na wananchi na vikosi binafsi viliweza kuokoa wananchi 87 ambao walikuwa kwenye maeneo hatarishi zaidi,” amesema Kunenge.

Kunenge amesema “Jiji letu lilipata mvua kubwa October 13 na kuleta athari ikiwemo vifo 12, nyumba 800 zimeingiliwa na maji, na nyumba 107 zimezolewa na maji wananchi 480 wamekosa mahali pa kukaa,”.

Ametaja maeneo yalioathirika zaidi kuwa ni pamoja na Kisutu, Chakula Bora, Tupendane Manzese, Barafu, Kisiwani, Basihaya na jangwani.

“Ujumla Jiji lote lilipata athari mbalimbali kutokana na mafuriko, yameleta athari mbalimbali katika miundombinu ikiwemo barabara, umeme na madaraja” amesema mkuu wa mkoa.

Kunenge ametoa pole kwa familia zote zilizopoteza ndugu zao pamoja na wote waliopatwa na mafuriko.

ADVERTISEMENT

Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) zinaonyesha kuwa kuna uwezekano wa mvua kubwa kunyesha Oktoba 15 hadi 16.

Kunenge amewataka wananchi kuchukuwa tahadhari kwa kuhakikisha wanafuatilia taarifa zinazotolewa na TMA ili kujikinga na athari za Mafuriko.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa siku nzima pia ilisababisha madhara mengine mbalimbali ikiwemo biashara kusimama kutokana na mafuriko, ukosefu wa usafiri pamoja na foleni kubwa barabarani.

Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili akizungumza na Waandishi wa habari.

CRDB benki yazindua kampeni ya kuweka akiba

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In