• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, January 30, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Teknolojia mpya ya matumizi ya simu kupunguza uhaba wa madawa na kuboresha Maisha Zanzibar

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
September 27, 2018
in BIASHARA
0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya Zanzibar, Asha Ali Abdulla ( mbele kulia) na Mwakilishi wa Novartis, Nathan Mulure (mbele kushoto) wakibadilishana mkataba wa kutelekeza mpango wa utoaji dawa. Wengine ni Mkurungezi wa biashara wa Vodacom,Arjun  Dhillon (anayepiga makofi kushoto) na wawakilishi wengine kutoka Wizara ya Afya Zanzibar na Novartis

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya Zanzibar, Asha Ali Abdulla ( mbele kulia) na Mwakilishi wa Novartis, Nathan Mulure (mbele kushoto) wakibadilishana mkataba wa kutelekeza mpango wa utoaji dawa. Wengine ni Mkurungezi wa biashara wa Vodacom,Arjun Dhillon (anayepiga makofi kushoto) na wawakilishi wengine kutoka Wizara ya Afya Zanzibar na Novartis

Share on FacebookShare on Twitter

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania, leo imetangaza kuunga mkono jitihada za kuboresha afya zinazofanywa na Wizara ya Afya ya Zanzibar na kampuni ya Norvatis kutoka nchini Uswisi kufanikisha kuondoa changamoto kubwa ya uhaba wa madawa kisiwani Zanzibar.

Uhaba wa madawa hujitokeza wakati ambapo maduka ya dawa hushindwa kuwa  na dawa za kutosha kulingana na mahitaji. Hali hii husababisha madhara makubwa katika kutoa huduma za afya. Mfumo huu mpya utawezesha ufuatiliaji wa karibu wa akiba ya dawa zilizopo na kupunguza uwezekano wa kutokea uhaba wa dawa.

Utekelezaji wa mfumo huu mpya wa kufuatilia ugavi wa madawa kupitia programu ya ujumbe wa simu za mkononi  inayojulikana kama SMS kwa Maisha (SMS for life), Wizara ya Afya inalenga kuboresha upatikanaji wa dawa muhimu kwa watu wa Zanzibar na pia kuwezesha huduma nzuri za afya na ustawi kwa watu wanaoishi Zanzibar. Vodacom na Novartis zitashirikiana kwa kutumia teknolojia iliyozinduliwa na kampuni tanzu ya Vodafone (Mezzanine) na kutoa mafunzo kuhakikisha Zanzibar inanufaika kupitia mapinduzi ya kidigitali.

“Kliniki zilizopo Zanzibar mara nyingi  zimekuwa  na changamoto ya kufanikisha upatikanaji wa  madawa muhimu. Programu hii mpya itafanikisha  kukabiliana na  changamoto hii kupitia ubunifu wa teknolojia ambao utasaidia taasisi zinazotoa huduma za afya kufuatilia mahitaji na mfumo wa ugavi wa madawa, ukianza kutumika Zanzibar, utaboresha zaidi mfumo wetu wa utoaji wa huduma za afya, kuhudumia vizuri wagonjwa na kuboresha maisha” alisema Harusi Said Suleiman wa Wizara ya Afya ya Zanzibar.

Programu ya ujumbe wa simu za mkononi inayojulikana kama SMS kwa Maisha, hutumia   simu za mkononi kupitia teknolojia inayojulikana kitaalamu kama Cloud kuwezesha kufuatilia usambazaji wa madawa. Teknolojia hii itatumika katika vituo vya afya vilivyopo chini ya serikali vipatavyo  190 Zanzibar (Pemba na Unguja), kuwezesha kupata taarifa ya kila wiki ya mahitaji na matumizi ya dawa. Kwa kufanya hivyo, itasaidia kuhakikisha kuwa dawa zinapatikana kwa wakati katika vituo hivi kulingana na  mahitaji  ya wagonjwa wanaowahudumia.

ADVERTISEMENT

Nathan Mulure, Mkuu wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika inayosimamia  Biashara ya bidhaa za Kijamii  ya Novartis, amesema makubaliano haya  ya kufanya  kazi pamoja ni mfano mzuri wa  sekta za umma na za kibinafsi kushirikiana katika kukabiliana na  changamoto zinazoikabili sekta ya huduma za afya. “Kuwezesha Wizara ya Afya kuboresha mfumo wa huduma za afya nchini  Tanzania, kupitia mradi kama huu wa SMS kwa Maisha ni moja ya dira yetu  ya kuboresha huduma  za afya barani Afrika. Kwa ushirikiano wa pamoja na Vodacom na Mezzanine, tunaweza kuleta mabadiliko chanya kupitia ubunifu wa teknolojia kuhakikisha mfumo wa huduma za afya wa Zanzibar unakidhi matakwa ya  wagonjwa wanaohitaji huduma za kiafya”alisema.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Biashara za makampuni wa Vodacom, Arjun Dhillon alisema “Ubunifu unaolenga kutatua changamoto za kiafya ni moja ya eneo ambalo kampuni  ya Vodacom Tanzania tunalipa kipaumbele kikubwa. Tunayo furaha kushirikiana na kampuni ya Mezzanine kufanikisha ubunifu wa kiteknolojia katika kuboresha huduma za afya kwa watu wa Zanzibar. Kupitia SMS kwa Maisha vituo vya afya vilivyopo maeneo ya mbali na mjini vitaweza kutoa taarifa ya mahitaji yake ya madawa kwa haraka na kwa ufanisi.”

Tags: NovartisVodacomWizara ya Afya ya Zanzibar
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Mavunde: Total ni mfano wa kuigwa

Mavunde ahimiza vijana kuchangamka

Discussion about this post

Habari Mpya

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

January 30, 2023

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

January 30, 2023

Poland kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kodi kidigitali

January 26, 2023

Kamati ya bunge yahimiza uwekezaji maeneo ya hifadhi

January 21, 2023

Serikali kuanzisha mnada wa chai

January 20, 2023

Tumieni bandari ya Dar es Salaam: Makalla

January 19, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Mohammed Dewji (Mo Dewji). Picha|Mtandao

Watieni nguvu wawekezaji: Makalla

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewasihi mashabiki wa Simba wamtie nguvu Mwekezaji Mohammed Dewji (Mo Dewji) kwa...

Vijana Tanzania kupatiwa eka 10 kulima

by Pesatu Reporter
January 30, 2023
0

Rais Samia amesema Serikali imetenga hadi eka 10 kwa kila kijana mwenye sifa za kufanya kilimo nchini Tanzania ili kuiwezesha...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In