• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

TICTS yaweka rekodi mpya, kiwango cha kuhudumia kontena kufikia 592,000 mwaka 2018

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
January 23, 2019
in BIASHARA
0
Share on FacebookShare on Twitter

Kampuni ya kimataifa ya kuhudumia shehena ya kontena bandarini  (TICTS), ikiwa kama kampuni pekee ya huduma kwa kontena inayofanya kazi katika bandari kubwa nchini Tanzania imefikia hatua mpya ya mafanikio na kuweka rekodi mpya ya kuhudumia shehena  ya kontena 592,000  katika mwaka 2018. Rekodi ya mwisho iliwekwa na kampuni hiyo mwaka 2017 ambapo ilihudumia kontena 502,690. Katika mwaka wa 2018, TICTS pia iliweka rekodi ya mwezi katika mwezi wa Agosti kwa kuweza kuhudumia kontena 54,447 na rekodi ya kontena 31, 239 zilihudumiwa katika mageti katika mwezi Machi 2018.

Ongezeko la shehena ya ndani na kwa ajili ya nje ya nchi imeongezeka kwa asilimia 18, zaidi ya mwaka 2017. Mizigo ambayo ni kwa nchi mbalimbali zinazotumia bandari yetu iliongezeka kwa wastani zaidi ya asilimia 38.9 kwa mwaka 2018. Ongezeko la shehena linahitaji ufanisi na uharaka katika utoaji mizigo ili kupunguza muda wa mizigo kukaa bandarini na hivyo kuwezesha TICTS na Bandari kuongeza ufanisi na uwezo wa kuhudumia shehena kubwa zaidi. Kampuni imefanikiwa  ukuaji huu licha ya changamoto za mazingira ya kibiashara kimataifa na katika kanda.

ADVERTISEMENT

Afisa Mtendaji Mkuu, Jared Zerbe alisema, ‘’Msaada na ushirikiano tunaopata  kutoka kwa Serikali ya Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato (TRA),wafanyakazi wetu, wateja na wadau wanaotumia bandari hii ndio imekua chanzo cha ukuaji wa huduma za TICTS katika mwaka 2018. Binafsi najivunia sana kwa timu yetu nzuri sana wakipambana na changamoto ya kuhudumia ongezeko la shehena.’’

Kuongeza ufanisi ili kuweza kuhudumia shehena hii inayokua, TICTS itaendelea kufanya kazi na Serikali ya Tanzania, TPA, TRA na wateja na kufanyia kazi changamoto zote zinazoathiri utolewaji haraka wa mizigo katika bandari Dar es Salaam.

Tags: Dar PortJared ZerbeTRA
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Kanuni ya Pareto inavyokuza biashara

Vikundi rejesheni mikopo kwa wakati-DC Shinyanga

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

September 26, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

by Pesatu Reporter
September 26, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In