• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

WAZIRI WA ARDHI AAGIZA UTOAJI WA ELIMU YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wasajili WasaidIzi wa Hati kwenye Ofisi za Ardhi za Mikoa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na faida ya ofisi ya Msajili wa Hati.

Jensen Kato by Jensen Kato
June 26, 2020
in UWEKEZAJI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wasajili WasaidIzi wa Hati kwenye Ofisi za Ardhi za Mikoa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na faida ya ofisi ya Msajili wa Hati.

Akizungumza wakati wa kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Singida jana Lukuvi alisema ofisi ya Msajili wa Hati ina jumla ya mihuri 34 yenye kazi mbalimbali ambazo Msajili Msaidizi wa Hati anaitumia kutekeleza majukumu yake.

Alisema, ofisi hiyo mbali na kutoa hati za ardhi lakini pia inasajili nyaraka mbalimbali kama vile uhamisho wa miliki, rehani na ubadilishaji jina ambapo wananchi wakipata elimu kuhusiana na faida zinazopatikana katika ofisi ya Msajili wa hati wataweza kuitumia vyema ofisi hiyo.

ADVERTISEMENT

Aliwataka wasajili wasaidizi wa hati kwenye ofisi za ardhi za mikoa kuhakikisha wanatoa elimu kuhusiana na ofisi zao kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo redio zilizopo katika mikoa yao kwa kuwaeleza wananchi huduma zinazotolewa kupitia ofisi zao.

‘’Msajili wa Hati amepewa mamlaka ya kurekebisha nyaraka mbalimbali, ni vizuri mkajitambulisha kwa wananchi ili watambue na kujua faida ya ofisi zenu kwani wakati mwingine wananchi wanagomabana mahakamani kwa kutosajiliwa nyaraka zao’’ alisema Lukuvi.

Kwa mujibu wa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, pamoja na ofisi ya msajili kuwa na faida katika kutoa hati za ardhi na kusajili nyaraka mbalimbali lakini pia ofisi hiyo inaiingizia serikali mapato yatokanayo na kazi zinazofanywa na ofisi hiyo.

Akielezea uanzishwaji ofisi za ardhi za mikoa Waziri Lukuvi alisema, pamoja na ofisi hizo kupelekewa wataalamu wa fani mbalimbali kwa ajili ya kurahisisha utoaji huduma za ardhi lakini ofisi za ardhi za mikoa zimepatiwa vifaa mbalimbali vya upimaji kwa lengo la kuwezesha maeneo mengi kupimwa.

‘’Halmashauri kama hazina vifaa, badala ya kwenda kukodi vifaa vya upimaji kwa gharama kubwa kwenye makampuni ziende kukodi ofisi za ardhi za mikoa ili kuwezesha zoezi la upimaji’’ alisema Lukuvi.

Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili ameelezea uamuzi wa kuanzisha ofisi za ardhi za mikoa kuwa ni ufumbuzi wa matatizo ya ardhi kwenye mkoa wa Singida ambapo hapo awali kulikuwa na urasimu kutoka kwa watumishi wa sekta hiyo. Hata hivyo alisema ofisi hizo za ardhi za mikoa zitawawezesha wananchi kupata huduma za ardhi kwa wakati tofauti na huko nyuma.

Jensen Kato

Jensen Kato

Next Post

WANAWAKE ZANZIBAR WASHAURIWA KUTUMIA KARAFUU KAMA ZAO LA NEEMA

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In