• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Vodacom yasherehekea Wiki ya Wateja

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
October 4, 2018
in BIASHARA
0
Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akimhudumia mteja Rafi Soule, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Vodacom lililopo makao makuu ya kampuni hiyo  Morocco jijini Dar es salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa  Huduma kwa wateja (Customer Care) Harriet Lwakatare.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akimhudumia mteja Rafi Soule, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja katika duka la Vodacom lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Morocco jijini Dar es salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja (Customer Care) Harriet Lwakatare.

Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi, Vodacom imesherehekea wiki ya wateja kwa kutoa zawadi mbalimbali  na kuhaidi kuzidi kuboresha huduma kwa wateja wake.

WATEJA WA KWANZA KUNUNUA LINE YA VODACOM : Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja (Customer Care) Harriet Lwakatare (kulia) akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa kwanza kununua laini ya simu ya Vodacom mwaka 2000, Mama Sion Nnko, wakati mtandao huo unaanzishwa. Wateja hawa walitembelea walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana, Sambamba na zawadi hiyo wateja hao walizawadiwa TUZO points zenye thamani ya 200,000 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja. Kushoto ni Benedict Kajukano, Bernard Masao na Emmanuel Lutashohyce.
Baadhi ya wateja wa kwanza kununua laini ya simu ya Vodacom mwaka 2000, kutoka kushoto Sion Nnko, Benedict Kajukano, Bernard Masao, Emmanuel Lutashohyce na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja ( Customer Care) Harriet Lwakatare wakimsikiliza Afisa chapa wa kampuni hiyo, Grace Kijo wakati walipotembelea Makao Makuu ya Vodacom jijini Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Mteja.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kushoto) akizungumza na wateja wa Vodacom alipotembealea duka la Vodacom lililopo Morocco jijini Dar es salaam kuwashukuru wateja wa kampuni hiyo. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja (Customer Care) Harriet Lwakatare na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Tags: Grace KijoHarriet LwakatereHisham HendiVodacom
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post

Stiegler's Gorge kusaidia utunzaji mazingira

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In