Rais Samia Suluhu Hassan amezindua boti za uvuvi za kisasa 160 kwa wanufaika 989 pamoja na vizimba 222 vitakavyonufaisha watu 1,213. Wanufaika hao ni wa mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera, Simiyu na Geita. Akizungumza …

banner

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter