Wakulima wa zao la alizeti pamoja na mazao mengine yakiwemo tumbaku, pilipili na parachichi wamehakikishiwa uwepo wa masoko ya mazao nchini China huku Serikali ikiendelea na juhudi za kufufua masoko katika nchi nyingine Duniani. …

banner

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter