• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, June 28, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

SHULESOFT YAENDELEE KUTOA ELIMU MASHULENI BAADA YA KUFUNGULIWA

Lengo la kampeni hiyo ni kuhimiza wamiliki wa shule mbalimbali wasiendelee kutumia mifumo isiyo ya kidigitali.

Jensen Kato by Jensen Kato
June 29, 2020
in Elimu
0
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
TAASISI isiyo ya kiserikali ya mifumo ya Teknolojia ya elimu hapa nchini kupitia mtandao wa shulesoft ambao unaratibu shughuli za shule zote hapa nchini imekuja na kampeni mpya inayoitwa Rudishule na ShuleSoft.
Lengo la kampeni hiyo ni kuhimiza wamiliki wa shule mbalimbali wasiendelee kutumia mifumo isiyo ya kidigitali katika kusimamia shughuli za shule na kutumia mifumo ya kidijitali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Juni 26,2020, Mkurugenzi Mkuu wa ShuleSoft, Ephraim Swilla amesema kuwa kwa kipindi hikia ambacho shule zinakwenda kufungua Juni, 29,2020 mfumo wa kidijitali wa ShuleSoft unaendelea kusaidia shule katika mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo kusimamia taaluma ya Shule kwa kuandaa ripoti za kisasa na zenye ubora, kurahisha makusanyo ya ada kupitia Control number.
Hata hivyo amesema kuwa mfumo huo utarahisha uandaaji wa mishahara kwa kuchakata taarifa za watumishi wote, kuandaa ripoti za kifedha kwa urahisi na ufanisi zaidi.
“Pia mfumo huu utasaidia kuboresha zaidi mawasiliano na wazazi ambapo wazazi hupata taarifa za shule kwa njia ya SMS, barua pepe, Telegram na pia kwa kuingia kwenye akaunti zao za ShuleSoft.”
“Tunapo rudi shule, tunapenda kuwaambia wateja wetu kuwa ShuleSoft imeboreshwa sana sana na vipengele vipya vimeongezwa vinavyoleta ufanisi mkubwa katika utendaji kazi wake, pamoja na kuhahikisha wamiliki na wasimamizi wa Shule wanapata faida katika kazi zao, na taaluma ya shule inasonga mbele.” Amesema Swilla.
Hata hivyo Swilla amesema kuwa mfumo wao wa kidijitali umekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha mzazi anapata taarifa zote za mwanafunzi kupitia mfumo wa ShuleSoft popote alipo duniani.
Licha ya hilo amewakaribisha wamiliki wa shule kurudi shule na ShuleSoft kwa kuunganisha shule zao na mfumo mahiri wa ShuleSoft wenye gharama nafuu sana.
Mfumo wa shuleSoft uliweza kusaidia wanafunzi wa shule mbalimbali katika kipindi shule zilipokuwa zimefungwa kutokana na ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa na walimu wanaofundisha masomo mbalimbali katika mtandao huo.
Jensen Kato

Jensen Kato

Next Post

BILIONI 48 ZATENGWA UJENZI WA VYUO VYA UFUNDI STADI

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 27, 2022

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

by Jensen Kato
June 27, 2022
0

Kilimo biashara kinaendelea kukua barani Afrika na muda umefika kwa watu hususani vijana kuchagamkia fursa mbalimbali zinazotokana na kilimo. Watu...

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In