• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Saturday, June 25, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Mikopo elimu ya juu itatolewa kwa wanaostahili-Prof. Ndalichako

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu haitavumilia vitendo vya wanafunzi kupata mkopo kwa njia za udanganyifu na kusababisha wengine walio na vigezo kukosa fursa hiyo.

Patricia Richard by Patricia Richard
November 24, 2018
in MIKOPO
0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako.

Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haitavumilia vitendo vya wanafunzi kupata mkopo kwa njia za udanganyifu na kusababisha wengine walio na vigezo kukosa fursa hiyo. Waziri Ndalichako amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Riziki Pembe Juma mjini Unguja.

ADVERTISEMENT

“Na wengine ambao wanachukua mkopo hata kimsingi ni ile ubinafsi lakini hawakuwa na uhitaji hizo fedha wangewaachia watoto ambao hawana uwezo kiukweli kweli, kuna watu wengine mpaka wanadanganya wengine walikuwa wanajipa hata uyatima mpaka siku hizi inabidi tuwe tunafuatilia vyeti mtu akisema yatima tujiridhishe. Lakini watu walikuwa wanafika mahali wanadanganya ili wapate mikopo kwa hiyo mimi niombe tu tuwe na uzalendo, tuangalie mikopo tumeweka kwa walio na uhitaji kwa hiyo wewe kama huna uhitaji sio lazima wala huna sababu ya kwenda kuchukua tuachie watoto ambao bila huo mkopo hawawezi kusoma kabisa.” Ameeleza Ndalichako.

Tags: elimuheslbmikopoNdalichakozanzibar
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post

Korosho Pwani kuanza kununuliwa wiki ijayo

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In