• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Monday, May 23, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Mpango wa 145bn kutokomeza magonjwa wazinduliwa

Ni ya kuambukiza na yasio ya kuambukiza

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
April 28, 2022
in FEDHA
0
Share on FacebookShare on Twitter

Mpango utakaogharimu Bilioni 145 umezinduliwa kutokomeza magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza nchini.

Wizara ya Afya kwa kushirikiana na shirika la afya duniani (WHO) imezindua mpango mkakati huo wa kutekeleza afua mbalimbali za afya .

Mpango huo utatekelezwa katika kipindi cha miaka mitano (2022-2027) umezinduliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu jijini Dar Es Salaam.
“Tumezindua mpango kazi wa miaka mitano ya ushirikiano kati ya WHO na serikali ya Tanzania bara pamoja na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, tukitarajia kupata msaada wa kiufundi katika maeneo mbalimbali kutoka WHO ikiwa ni kutekeleza mikakati mbalimbali ya afya ikiwemo kupambana na haya magonjwa yanayotolewa taarifa na WHO kama ilivyo kwa Uviko-19,” amesema Waziri Ummy.

Waziri Ummy amesema kupitia mpango uliopita nchi imepata mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka mitano kwa kupunguza vifo vinavyotokana na magonjwa ya kuambukiza kama malaria, kifua kikuu na UKIMWI pamoja na vifo vya mama na mtoto na kwamba changamoto zilizopatikana zimewekwa ndani ya mpango mkakati mpya.

ADVERTISEMENT

Aidha, ameongeza kuwa magonjwa kama Ebola, Kipindupindu ni maeneo ambayo yamebainishwa katika mpango huo yatafanyiwa kazi kwa ukaribu, na kuongeza kuwa eneo la pili ni afya ya mama na mtoto ambapo wataendelea kushirikiana katika kutatua changamoto.

Waziri Ummy pia ametaja eneo la ubora wa huduma akisema licha ya kujengwa kwa zahanati lakini majengo pekee hayatoshi, huduma na rasilimali watu vinahitajika na kwamba Rais Samia ametoa ajira zaidi ya 12,000 za afya ili kutatua changamoto hiyo.

Kwa upande wake Mwakilishi mkazi wa WHO nchini Mengetsu Ketsela amesema WHO itaisaidia Tanzania katika maeneo sita ikiwemo hali ya afya na usawa, usawa wa kijinsia na haki za binadamu, dharura za afya, mfumo wa taarifa za afya, ushirikiano na kuweka vipaumbele vya kimkakati.

Nae Waziri wa afya wa Zanzibar Dkt. Ahmed Mazrui amesema ushirikiano huo utasaidia kutatua changamoto za afya katika maeneo mbalimbali na ni mpango ambao Tanzania imeuridhia na utaendelea kutekelezwa.

Tags: afyaTanzaniazanzibar
Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post

CCBRT kuchangisha fedha kwa ajili ya uzazi salama

Discussion about this post

Habari Mpya

Kilimo, uvuvi, ufugaji kuwekewa mkazo

May 23, 2022
Rais Samia Suluhu. Picha|Mtandao

Rais Samia aenda Ghana

May 23, 2022

RC Makalla: Serikali imedhamiria kuweka mazingira bora ya ufanyaji biashara

May 19, 2022

Madereva watakiwa kuzima magari ya serikali

May 17, 2022

Waziri Mkuu apokea taarifa nyongeza ya mishahara

May 11, 2022
Rais Samia Suluhu. Picha|Mtandao

Rais Samia atangaza mkakati bei ya mafuta

May 10, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Kilimo, uvuvi, ufugaji kuwekewa mkazo

by Pesatu Reporter
May 23, 2022
0

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji kuanzaia mwaka wa fedha...

Rais Samia Suluhu. Picha|Mtandao

Rais Samia aenda Ghana

by Pesatu Reporter
May 23, 2022
0

Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Akiwa...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In