• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Tanzania kinara wa kuvutia wawekezaji Afrika Mashariki

Tanzania inaongoza kuvutia wawekezaji kutokana  na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano.

Patricia Richard by Patricia Richard
December 6, 2018
in HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI
0
Dola 167 milioni kuwekezwa Pwani

Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Godffrey Mwambe.

Share on FacebookShare on Twitter

Na. Paschal Dotto-MAELEZO

Tanzania imeendela kuweka rekodi ya kuvutia wawekezaji kwa nchi zilizopo ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa na mtaji wa uwekezaji wa Dola Bilioni 1.18, ikifuatiwa na Uganda wenye uwekezaji wa Dola  za kimarekani 700.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu  wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Godffrey Mwambe amesema nchi ya Kenya inashika nafasi ya Tatu wakiwa na uwekezaji wa dola za kimarekani 670 na hivyo kuiweka Tanzania kuwa juu ya nchini zingine Afrika Mashariki.

ADVERTISEMENT

Mwambe amesema kuwa Tanzania inaongoza kuvutia wawekezaji kutokana  na mapinduzi makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ambapo hadi sasa imewekeza jumla ya miradi mipya 905 katika sekta mbalimbali nchini miradi ambayo itatengeneza ajira 115,055 kwa watanzania na kuleta tija na manufaa kwa taifa.

Alisema kuwa katika kipindi hiki cha miaka mitatu TIC imeweza kuvutia wawekezaji na kuweza kuandikisha, mfano kuanzishwa kwa viwanda mbalimbali ambavyo vimeweza kuongeza pato la taifa.

Akifafanua zaidi anasema kuwa baadhi ya miradi mikubwa zaidi iliyowekezwa nchini ni pamoja na ikiwemo kiwanda cha Goodwill Ceremics Ltd kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani kinachojihusisha na utegenezaji vigae na kimewekeza jumla ya dola za kimarekani milioni 53, huku kikitoa ajira za moja kwa moja 1500 kwa watanzania na ajira zisizo za moja kwa moja 3,000.

“Viwanda vingine ambavyo vimeiwezesha Tanzania kuwa kinara wa kuvutia wawekezaji ni KEDA (Twyford) Tanzania ceramic Ltd pia ni cha kutengeneza marumaru na hiki ni kikubwa zaidi kina mtaji wa Dola za kimarekani milioni 56, kimetoa ajira  za moja kwa moja zipatazo 2,000 kwa watanzania na ajira zisizo za moja kwa moja 4,000” alisema.

Anavitaja viwanda vingine kuwa ni Sayona Friut Ltd yenye mtaji wa milioni 55, KEDS(T) Co.Limited mtaji wa dola milioni 11.8 pamoja na kiwanda cha nondo cha Kiluwa Steel Group ambacho ni kikubwa kwa ukanda wa afrika mashariki kina mtaji wa Dola milioni 130 na kinazalisha jumla ya tani 200 za nondo.

Aidha Mwambe alieeleza nchi zinazoongoza kwa kuwekeza nchini Tanzania ni pamoja na Jamhuri ya Watu wa China, Uingereza  na Marekani.

“Maendeleo ya China yaliyopatikana kwa miaka 40 kwa watanzania wote ni funzo kubwa la kuwa na uzalendo, China ndiyo inaongoza kuwa kuwekeza nchini tangu miaka ya 1990, na kwa sasa ina miradi ya uwekezaji 723”, Mwambe Mkurugenzi Mkuu, TIC.

Alibainisha utaoji huduma, Mwambe anasema TIC imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika utoaji huduma kwa wateja ndani na nje ya nchi kwani kwa sasa huduma zote zinazomuhusu mwekezaji zinapatika TIC kupitia mfumo wa ‘Huduma za mahala pamoja’ ambapo huduma hii imeongeza wawekezaji kwa kuvutiwa zaidi na kuwezesha Tanzania kuwa kinara katika nchni za Afrika Mashariki.

“Tumefanikiwa  kuongeza Taasisi ambazo hazikuwepo katika huduma za mahala pamoja  ndiyo maana tuliwatafuta kwenye maofisi yao na kuwaleta hapo katika Taasisi kama NIDA, OSHA,NEMC, TBS, TFDA pamoja na TANESCO , hawa wamekuja kuimarisha na kuondoa usumbufu kwa wawekezaji  na sasa tunaongelea jambo la kuwa kinara wa kuvutia wawekezaji Afrika Mashariki”. Mwambe.

Tags: ajiraPato la taifaTICuwekezajiviwanda
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Korosho ni mapatano-Manyanya

Bilioni 40 zatumika kununua korosho

Discussion about this post

Habari Mpya

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

September 14, 2023

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

September 26, 2023
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande.

Tanzania yapiga hatua utakatishaji fedha

September 12, 2023
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Picha| Ikulu

Tutawaunganisha wakulima na soko: Rais Samia

September 11, 2023

Mbaazi yaleta neema kwa wakulima 2023

September 7, 2023

Bei za mafuta zapanda tena Tz

September 6, 2023

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki.

Wadau ufugaji nyuki watakiwa kuchangamkia fursa

by Pesatu Reporter
September 14, 2023
0

Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali barani Afrika na inashika nafasi ya 14 dunia. Ethiopia, ndio nchi...

Exim kulinda maslahi watumiaji huduma za bima

by Pesatu Reporter
September 26, 2023
0

Benki ya Exim imezindua ushirikiano wa kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (TIRA) pamoja na kufanya mafunzo ya...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In