Home LifestyleHealth & Fitness IDADI YA WAGONJWA WA CORONA TANZANIA YAFIKIA 46

IDADI YA WAGONJWA WA CORONA TANZANIA YAFIKIA 46

0 comment 78 views

Wizara ya afya nchini Tanzania imetangaza kuwa kuna wagonjwa 14 wapya wa corona nchini humo.

Wagonjwa wote 14 ni raia wa Tanzania.Kufikia sasa watu 46 wameambukizwa virusi vya corona.

Watu 13 kati ya walioambukizwa viruri vya corona wapo jijini Dar es Salaam huku na mwingine mmoja kutokea mjini Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara ya afya Jumatatu asubuhi wagonjwa wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter