Ghasia ahoji hatma ya maji Mtwara
Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia, amehoji bungeni kuhusu mpango wa serikali katika kutekeleza mradi mkubwa wa maji kutoka Mto ...
Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia, amehoji bungeni kuhusu mpango wa serikali katika kutekeleza mradi mkubwa wa maji kutoka Mto ...
Kampuni zaidi ya 30 zilizowekeza kwenye sekta ya mafuta zimetoa wito kwa serikali kuharakisha mradi wa uchakataji gesi mkoani Mtwara. ...
Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameitaka Wizara ya kilimo kufuatilia wamiliki binafsi wa viwanda vya korosho ambao hadi sasa ...
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema Halmashauri hazitakiwi kutoza ushuru kwa wakulima wa zao la korosho kwa sababu hazikuwasaidia ...
Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewaonya wakulima wa korosho wanaodanganya kutolipwa fedha zao na kuagiza hatua stahiki zichukuliwe ...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amesema Rais John Magufuli anatarajia kufanya ziara mkoani humo ambapo atazindua na kuweka ...
Wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara wameomba Bunge kuingilia kati suala ya malipo yao kuchelewa huku wakidai kuchoshwa na ...
Ili kuondoa sintofahamu katika jamii, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ameagiza wataalamu wa timu ya Oparesheni Korosho kubandika majina ya ...
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Maulidi, ameahidi kuwasilisha kwa Rais Magufuli changamoto wanazokumbana nazo wakulima wa korosho. Spika ...
Kufuatia kicheleweshwa kulipwa fedha za ushuru, Vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) mkoani Mtwara vimesitisha shughuli za ushirika kutokana na ...
Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...
Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...