• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Thursday, January 21, 2021
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Songas yachangia milioni 47 Shule ya Msingi Ubungo Kisiwani

Athanas Lupatu by Athanas Lupatu
May 14, 2019
in Uncategorized
0
Mkurugenzi mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya TZS milioni 47 kwa wanafunzi wa Ubungo Kisiwani mapema leo, Kampuni hiyo ya uzalishaji wa gesi nchini Tanzania imetoa msada huo kama mchango wao katika kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu nchini.

Mkurugenzi mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya TZS milioni 47 kwa wanafunzi wa Ubungo Kisiwani mapema leo, Kampuni hiyo ya uzalishaji wa gesi nchini Tanzania imetoa msada huo kama mchango wao katika kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu nchini.

Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Kampuni ya uzalishaji umeme kwa kutumia gesi, Songas imechangia milioni 47 kwenye shule ya msingi Ubungo Kisiwani. Songas imetoa kiasi hicho cha fedha  kama mchango wake katika maendeleo ya jamii kwa  nia ya kuboresha elimu katika shule hiyo .

Sherehe za ugawaji fedha hizo zilihudhuriwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker pamoja na Mwenyekiti wa  mtaa wa kibangu, Desidery Ishengoma na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ubungo Kisiwani.

Mkurugenzi mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya milioni 47 Mwenyekiti wa mtaa wa Kibangu, Bw Desidery Ishengoma katika shule ya msingi Ubungo Kisiwani mapema leo, Kampuni hiyo ya uzalishaji wa gesi nchini Tanzania imetoa msada huo kama mchango wao katika kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu nchini.
Mkurugenzi mtendaji wa Songas, Nigel Whittaker akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya TZS milioni 47 kwa wanafunzi wa Ubungo Kisiwani mapema leo, Kampuni hiyo ya uzalishaji wa gesi nchini Tanzania imetoa msada huo kama mchango wao katika kuisaidia serikali kuboresha miundombinu ya elimu nchini.
Tags: Desidery IshengomaNigel WhittakerShule ya Msingi Ubungo Kisiwani
Athanas Lupatu

Athanas Lupatu

Next Post
Dk. Kijaji: Wateja wa FBME kulipwa

Dk. Kijaji: Wateja wa FBME kulipwa

Discussion about this post

Habari Mpya

Rais Magufuli atangaza ajira mpya za walimu 5,000

January 20, 2021

DStv yatangaza promosheni ‘Panda Tukupandishe’

January 19, 2021

Waziri Dk. Ndugulile aitaka TTCL kuacha kufanya biashara kwa mazoea, aipongeza

January 19, 2021

40 wavuta mkwanja Droo ya 6 NMB MastaBATA

January 19, 2021

Tiketi za mabasi sasa kwa njia ya mtandao

January 12, 2021

Watanzania wengi hawajui bima ya maisha 

January 12, 2021
No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2021 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Create New Account!

Fill the forms below to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In