142
Nawa mikono kwa maji
- Hakiki unanawa mikono kwa maji safi na yanayotirirka baada ya kukohoa au kupiga chafya.
- Baada ya kumhudumia mgonjwa
- Kabla na baada ya kuandaa chakula
- Kabla ya kula
- Baada ya kutoka chooni
- Baada ya kushika mnyama au kinyesi cha mnyama
Funika mdomo na pua
- Funika mdomo na pua wakati wa kukohoa au kupiga chafya kwa kitambaa safi au sehemu ya mbele ya kiwiko cha mkono
- Usikae katika msongamano wakati ukipiga chafya
Kaa mbali na mtu mwenye mafua au kikohozi ambaye ana historia ya kusafiri nje ya nchi
- Jaribu kukaa mbali na mahali ambapo kuna watu wanaoingia nchini,mfano mipakani na viwanja vya ndege,Bandarini,sabab ugonjwa huu huambukizwa kwa njia ya hewa au kwa kugusa majimaji au kamasi kutoka kwa mtu mwenye virusi vya Corona