Home Elimu Mahakama kutumia mfumo wa Teknolojia wa TEHAMA.

Mahakama kutumia mfumo wa Teknolojia wa TEHAMA.

0 comment 101 views

Katika kukabiliana na Virusi vya CORONA Mahakama ya Tanzania inajipanga kuanza kutumia mfumo wa Teknolojia wa TEHAMA na watuhumiwa hawatolazimika kufika mahakamani.
Akizungumza jijini Mwanza Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma alisema “Mahakama ni Taasisi ya Umma ambayo inatakiwa kutkeleza, maelekezo na Tahadhari zinazotolewa na Serikali yetu kupitia wizara ya afya.
Hivyo basi wadau wa mahakama wakiwemo wafungwa, maabusu, mawakili, wanannchi na wadau mbalimbali, wameshauliwa kukubali mabadiliko yanayoanza kuonekana mahakamani.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter