Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) …
Pesatu Reporter
Wananchi wametakiwa kukopa mikopo inayotolewa na Serikali na Taasisi rasmi ili kujiepusha na udhalilishaji unaoweza kutokea kutokana na kukopa mikopo yenye masharti magumu kutoka kwa Taasisi zisizo rasmi na kwa wakopeshaji binafsi. Rai hiyo …
-
-
Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili kuhakikisha kuwa baada ya kustaafu wanaendelea …
-
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi …
-
Serikali imewakumbusha wakopaji kusoma kwa kina masharti yote ya mikataba kabla ya kuchukua mikopo kutoka kwa Taasisi za …
-
Mgodi wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na wakinamama umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka …
-
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga, amesema Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano kwenye utekelezaji wa miradi ya umeme …
-
Imeelezwa kuwa kiwango cha mikopo chechefu kimeshuka hadi asilimia 3.3, chini ya kiwango kinachovumilika cha asilimia 5. Hayo …
-
Ikiwa Tanzania ina zaidi ya hekta milioni 48 za misitu, wadau wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na …
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini zihakikishe uzalishaji wa bidhaa zote zinazozalishwa zikiwemo za …
-
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, …