Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga amewaonya wafanyabiashara wanaouza mbegu pamoja na viuatilifu feki, na kusema hatua kali zitachukuliwa …
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Kampuni ya VISA kwa kushirikiana na benki zipatazo 15 hapa nchini wamezindua huduma ya kwanza ya malipo ya …
-
Baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufanya ukaguzi wa kushtukiza sokoni Sido jijini Mbeya, imeelezwa kuwa wafanyabishara …
-
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, Anderson Msumba ametoa wito kwa wafanyabiashara kulipa kodi kama ambavyo taratibu zinavyoelekeza ili …
-
Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa amesema Tanzania na Brazil zimekubaliana kuinua kilimo cha pamba ili kuongeza tija …
-
Imeelezwa kuwa, Machi 14 mwaka huu, Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajia kufungua soko la dhahabu mkoani …
-
Benki ya DTB imepanga kufungua tawi maalum jijini Dar es salaam,ambapo wafanyakazi watakuwa wanawake pekee. Meneja Mkuu wa …
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angellah Kairuki amesema zao la parachichi limegeuka kuwa ‘Dhahabu ya …
-
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametangaza kampeni maalum ya nyumba hadi nyumba inayolenga …
-
Halmashauri ya wilaya ya Kilolo mkoani Iringa imetoa mikopo yenye thamani ya Sh. 110 milioni kwa vikundi mbalimbali …