Sheria zinazotumika hivi sasa ni zile za Bodi za mazao mbalimbali.
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Kutokana na bajeti iliyopo ambapo inatarajiwa kuwa, takribani Dola za Marekani 270 milioni (Sh. 623 Bilioni) zitatumika.
-
Miundombinu, mifumo ya utendaji na ulinzi katika bandari hiyo imeboreshwa.
-
Mkuu huyo wa mkoa amewasisitiza wajasiriamali kupata vitambulisho hivyo kwa faida yao.
-
WFP imeweza kuwaunganisha wakulima wadogo 53,000 na NRFA na asilimia 44 kati ya hao ni wanawake.
-
Mojawapo ya vikwazo wanavyokutana navyo wajasiliamali ni ukosefu wa eneo la uhakika kwa ajili ya kufanya shughuli zao.
-
Endapo kuna uwezekano, serikali itoe msamaha wa kodi hizo kwani walemavu wengi wamekuwa na mazingira magumu ya kufanya …
-
Kampuni hiyo ya mafuta imekuwepo hapa nchini kwa zaidi ya miaka 50 na imekuwa ikiagiza vilainishi vyake kutoka …
-
Wakuu hao wameagizwa kuwasaka wale wote ambao bado hawana vitambulisho hivyo.
-
“Tunafurahi kwa sababu mikakati mingi tuliyojiwekea imeleta mabadiliko kwenye benki yetu”