Home Elimu Je! Binadamu wanaweza kuambukizwa COVID-19 kutoka kwa wanyama?

Je! Binadamu wanaweza kuambukizwa COVID-19 kutoka kwa wanyama?

0 comment 103 views

Virusi vya Corona ni moja kati ya familia kubwa ya virusi ambayo ni vya kawaida kwa wanyama. Wakati mwingine, watu huambukizwa na virusi hivi ambazo vinaweza kuenea kwa watu wengine.

Kwa mfano, virusi vya SARS-CoV ambavyo vilitokana na paka na  virusi vya MERS-CoV ambavyo vilitokana na ngamia. Chanzo cha kuthibitisha kuwa COVID-19 inaweza kusambazwa na wanyama  bado hakijathibitishwa.

Ili kujilinda, ni muhimu  kama vile wakati wa kutembelea masoko ya wanyama hai, epuka kugusana moja kwa moja na wanyama haswa sehem za uso.

Beba nyama mbichi, maziwa au viungo vya wanyama kwa uangalifu ili kuzuia uchafuzi wa vyakula visivyopikwa na epuka kula bidhaa za wanyama mbichi au zilizochomwa.

Source: WHO

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter