Homa na mafua makali
Dalili moja wapo ya ugonjwa huu ni kupatwa na homa kali pia huambatana na mafua makali,ukiona moja ya dalili hizi ni vyema kama utaepuka kufanya shughuli zako zingine na kwenda kumuona daktari kwa ushauri na vipimo sahihi.
Kikohozi
Kikohozi kikavu na kinachoumiza koo ni dalili ya kupatwa kwa virusi vya Corona,nenda hospital haraka unapoona una kikohozi kisicho kwisha
Kubanwa na mbavu na kupumua kwa shida
Upumuaji wa shida na kubanwa na mbavu ni dalili za virus vya corona vinavyopelekea umahuti kama tu hutochukua tahadhari na kufika sehemu husika kwa uchunguzi na matibabu zaidi.Fika kituo cha afya ama sehemu zilizowekwa maalumu kwa ajili ya matibabu.
Mwili kuchoka
Maumivu ya misuli
Vidonda kooni
Kuumwa kichwa
Tafadhali chukua tahadhari pale tu unapokua ama kujisikia dalili hizo,tembelea kituo cha afya kilicho karibu na wewe.