Mikopo inakuja katika namna na ukubwa tofauti. Ikiwa mkopaji atakidhi vigezo na masharti ya sehemu anayoenda kukopa basi …
Leah Nyudike
Biashara ya nguo ni miongoni mwa biashara ambazo mfanyabiashara anakuwa na uhakika wa kupata wateja kwa sababu mavazi ni moja ya mahitaji muhimu kwa binadamu. Ieleweke kuwa kuna watu wamepata mafanikio makubwa kupitia biashara …
-
-
Taasisi za fedha maarufu kama ‘microfinance’ zinaendelea kuwasaidia watu wengi hususani wajasiriamali katika biashara zao. Taasisi hizi zipo …
-
Maamuzi kuhusu eneo la biashara yanaweza kuleta matokeo mazuri au mabaya katika biashara. Kabla hujaanza kutafuta eneo unatakiwa …
-
Siku zote wafanyabiashara hushauriwa kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kufungua biashara zao. Kwa kufanya utafiti inakuwa rahisi …
-
Mgahawa ni moja kati ya biashara zinazolipa hapa nchini. Kutokana na hilo, hakuna urahisi katika biashara hii kuanzia …
-
Ni wajibu wa mfanyabiashara kufanya kila jitihada kuilinda biashara yake na kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Madai, na …
-
Sera za bima zinatofautiana kulingana na idadi ya watu, eneo, na aina ya bima. Hakuna sera maalumu katika …
-
Kiasi cha fedha unachotumia kulipa kodi ya nyumba kinaweza kukuletea changamoto za muda mrefu. Sawa kila mtu akiwa …
-
Kwa bahati mbaya, elimu kuhusu fedha binafsi haitolewi mashuleni au vyuoni. Hivyo watu hasa vijana wanaweza kutokuwa na …
-
Uwezo wa watumiaji kufanya utafiti, kulinganisha, na kununua bidhaa na huduma kwa haraka unaonyesha jinsi uaminifu katika bidhaa …