Korosho inanunuliwa kwa Sh. 3,300 kwa kilo moja na maagizo ya Rais hayajakiukwa.
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Kwa kushirikiana na TARI na TADB, taasisi hizo tatu zimejipanga kutoa elimu ya udongo kwa wakulima ili kuchochea …
-
Gaguti amezitaka mamlaka za serikali za mitaa kuhakikisha hadi takwimu za wafanyabiashara wote zinakusanywa.
-
Muhogo ni zao rasmi la biashara hivyo na linachangia kikamilifu katika kuongezea pato la taifa.
-
“Makubaliano haya ni muhimu sana kwani yatasaidia kubadili maisha ya wakulima wadogo”
-
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Chakula Duniani (WFP), bado kuna mwitikio mdogo wa wananchi kunywa …
-
“Benki Kuu imehimiza benki na taasisi za fedha kuendelea kutoa huduma za kubadilisha fedha za kigeni kwa wateja …
-
Kwa mujibu wa kumbukumbu na nyaraka za ufilisi, taratibu za ufilisi zilikamilika na wafanyakazi hao walilipwa stahiki zao …
-
“ATCL ilikuwa na madeni mengi ambayo imekuwa ikiendelea kulipa baada ya kufanyiwa uhakiki”
-
“Kufikia tarehe 10 mwezi Februari kila machinga awe na kitambulisho”