Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom, imezidi kupanua wigo kwa kufikisha huduma kwa wateja wake. Vodacom imezindua ‘Vodashop’ katika eneo la Masaki, jijini Dar es Salaam.
Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa na Devota Kijogoo.

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakikata utepe kuzindua duka la Vodacom Masaki mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.

Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom, Linda Riwa (wapili kulia) na Devota Kijogoo (kulia) wakifurahia katika hafla ya uzinduzi wa duka la Vodacom Masaki, mapema leo. Kampuni hiyo inaendelea kutanua apatikananji wa huduma zake ili kuhakikisha kwamba wateja wake wanapata huduma bora.