Home Elimu CORONA : Kifo cha kwanza Tanzania

CORONA : Kifo cha kwanza Tanzania

0 comment 109 views

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Corona

“Ninasikitika kutangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa COVID-19 (ambukizo la virusi vya corona) hapa nchini kilichotokea alfajiri ya leo tarehe 31 Machi 2020 katika kituo cha matibabu ya wagonjwa wa COVID-19 kilichopo Mloganzila, Dar es Salaam”

Aliyefariki ni Mtanzania, mwanaume mwenye umri wa miaka 49 ambaye pia alikuwa akisumbuliwa na maradhi mengine.

Hadi kufikia leo 31 March 2020, jumla ya maambukizi nchini ni watu 19, aliyepona ni mmoja na aliyefariki ni mmoja.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter