• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

KIJANA WA KITANZANIA ATENGENEZA KIFAA CHA KISASA CHA KUNAWA MIKONO

Kijana huyo ambaye ni muhitimu wa chuo kikuu ametengeneza ndoo ya kunawia mikono bila kugusa koki wala sabuni

Jensen Kato by Jensen Kato
March 31, 2020
in VIWANDA
0
Share on FacebookShare on Twitter

Ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 ukiwa umeshasambaa katika mataifa 199 ikiwemo Tanzania, vijana nao wanaibuka na ubunifu mbalimbali ili kusaidia mataifa yao katika kudhibiti kuenea kwa gonjwa hilo lisilo na tiba wala chanjo. Ubunifu wa vifaa vya kudhibiti kuenea umefanywa na kijana mmoja nchini Tanzania kama anavyoripoti… wa kituo cha habari za Umoja wa Mataifa, UNIC jijini Dar es salaam.

Jijini Dar es salaam nchini Tanzania katika moja ya karakana za uchomeleaji vyuma nakutana na kijana Joseph Sanga, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mbunifu wa ndoo ya kunawa mikono kwa maji na sabuni bila kushika koki wala sabuni.“Kwanza kabisa mashine hii, mfano wa kwanza nilifanya mwaka jana. Kwa maana ya kwamba nilijikita katika kuhakikisha kuwa tunanawa mikono bila kushika koki kwa sababu ya maambukizi ya magonjwa ya kuhara. Kwa hiyo niliangalia kwanza magonjwa ya kuhara, lakini baada ya kuja kwa gonjwa hili jipya baya nikaboresha ule mfano wa kwanza nikapta mashine hii ambayo yenyewe kwa kwa   sasa unanawa mikono kwa kukanyanga pedali na kisha unapata sabuni kwa kukanyaga pedali.

ADVERTISEMENT

Pamoja na kusema kuwa kifaa hicho hakihitaij umeme na kinamudu mazingira magumu, Joseph akafafanua kinavyofanya kazi.“Hii ina pedali mbili, pedali ya kwanza ni kwa ajili ya sabuni na pedali ya pili ni kwa ajili ya maji.  Lakini kwenye pedali hii ya maji, kadri unavyoisukumu ndivyo kadiri unavyoongeza kiwango cha maji kutoka.”

Gharama kwa ndoo moja na sabuni na ndoo ya kukingia maji machafu ni shilingi 150,000 za Tanzania sawa na takribani dola 70 za kimarekani,  ambapo Joseph anasema faida ni ndogo sana hivyo ana ombi,« Nikipata fursa ya kuonana na Waziri nitamuomba angalau anisaidie kwenye hili ili niweze kusambaza hivi vifaa kwa bei ya chini ,  nipate malighafi bila usumbufu, kodi pia niangaliwe ili nipate namna nzuri ili nisambaze vifaa zaidi na watu wengi zaidi wapate kunawa mikono. »

Jensen Kato

Jensen Kato

Next Post

CORONA: Dala dala Dar es Salaam, Lever Seat

Discussion about this post

Habari Mpya

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

June 24, 2022

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

June 23, 2022

Kilimo biashara, sekta yenye fursa za uwekezaji

June 23, 2022

Turkish Airlines yarejesha safari zake KIA

June 22, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla akizungumza katika warsha ya viongozi wa Serikali wa mkoa na Bank ya NMB.

Benki ya NMB yapongezwa

June 22, 2022

Rais Samia azindua taasisi Zanzibar

June 20, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Miamala ya simu yaongeza Pato la Taifa

by Pesatu Reporter
June 24, 2022
0

Miamala ya fedha kwa njia ya simu imechangia kuongezeka kwa pato la Taifa kutoka asilimia 40 mwaka 2013 hadi kufikia...

Mapendekezo bima ya afya kwa wote

by Pesatu Reporter
June 23, 2022
0

Mapendekezo yamepitishwa kwa kila Mtanzania kuwa na bima ya afya. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo 23...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In