Home Elimu JIELIMISHE KUHUSU UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU UNAOSABABISHWA NA KIRUSI CHA CORONA

JIELIMISHE KUHUSU UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU UNAOSABABISHWA NA KIRUSI CHA CORONA

0 comment 98 views

Nawa mikono kwa maji

  • Hakiki unanawa mikono kwa maji safi na yanayotirirka baada ya kukohoa au kupiga chafya.
  • Baada ya kumhudumia mgonjwa
  • Kabla na baada ya kuandaa chakula
  • Kabla ya kula
  • Baada ya kutoka chooni
  • Baada ya kushika mnyama au kinyesi cha mnyama

Funika mdomo na pua

  • Funika mdomo na pua wakati wa kukohoa au kupiga chafya kwa kitambaa safi au sehemu ya mbele ya kiwiko cha mkono
  • Usikae katika msongamano wakati ukipiga chafya

Kaa mbali na mtu mwenye mafua au kikohozi ambaye ana historia ya kusafiri nje ya nchi

  • Jaribu kukaa mbali na mahali ambapo kuna watu wanaoingia nchini,mfano mipakani na viwanja vya ndege,Bandarini,sabab ugonjwa huu huambukizwa kwa njia ya hewa au kwa kugusa majimaji au kamasi kutoka kwa mtu mwenye virusi vya Corona

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter