Home BIASHARABIASHARA NDOGO NDOGO BIASHARA NDOGO NDOGO, KUANZIA MTAJI WA ELFU 20-60.

BIASHARA NDOGO NDOGO, KUANZIA MTAJI WA ELFU 20-60.

0 comment 267 views

JUICE ZA MATUNDA,
Matunda ya elfu kumi waweza toa had lita kumi za juice ambapo lita moja ni sawa na glass tano au nne za juice so kwenye lita kumi upata grass 40 sawa na elfu ishirin ukitoa matunda,sukar na vigras unafaida elfu tano,

BIASHARA YA MATUNDA
Siku hzi watu wengi hasa maofisini wanapenda kula matunda andaa kwa usafi matunda yako hapa unaweza tumia elfu kumi na tano.
Unanunua matunda mchanganyiko, nunua vifungashio vile vya kuwekea matunda pack matunda yako ambapo yakiuzika vyema unaondoka na faida nusu kwa nusu

BIASHARA YA MKAA
Gunia la elfu 30 unaweza kutoa mafungu 45 ya mkaa sawa na elfu arobain na tano faida elfu kumi na tano
MOBILE GENGE,(GENGE LINALOTEMBEA)
Watu wengi sasa hiv mna smartphone tangaza unauza nyanya, vitunguu karoti, na mazagazaga mengine ya jikoni, ukipata order unaenda ilala soko la wakulima unajumua vya kutosha unapeleka faida hapa ni nusu kwa nusu, pia unaweza tembezea majirani zako kutegemeanana sehemu unayoishi,
BIASHARA YA BITES
Hapa nazungumzia crips sambusa chapati maandazi mihogo ya kukaanga, vitumbua karanga za mayai, ubuyu, korosho, visheti etc unaweza sambaza vitafunwa maofisini as package kwamba pack moja ina andaz sambusa chapati na kachori au ukauzia nyumbani moja ya vitafunwa hivyo, Bites as wel peleka kwenye maduka na supermaket faida yake huwa nusu kwa nusu
BIASHARA YA VINYWAJI BARIDI STEND ZA DALADALA
Unaweza uza hata kwenye ndoo kama huna deli, nunua mabarafu nunua vinywaji tafuta kijana au wewe mwenyewe uza stend za daladala inalipa saaana
BIASHARA YA UJI WA ULEZI, UJI WA MCHELE NA MAKANDE
Kodi toroli jaza chupa zako uji aina hzo tembeza kwenye magereji na sehem za bodaboda.

Leave a Comment

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter