Mapema leo, waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa imefikia watu 13.
Kati ya wagonjwa hao 13, wagonjwa 8 ni watanzania, 5 ni wageni.
Dar es Salaam kuna wagonjwa 8, Arusha 2, Kagera 1 na Zanzibar wagonjwa 2.
Kati ya wagonjwa 13 wagonjwa 12 wote waliambukizwa nje ya nchi.
Pia amesema mgonjwa wa kwanza Isabela ameshapona kabisa na ataruhusiwa kurudi uraiani kuendelea na shughuli zake.