206

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha ushiriki Mkuu wa mauzo wa Kanda ya Kati wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Bi Grace Chambua wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya UCSAF jijini Dodoma mapema wiki hii. Maadhimisho ya mfuko huo wa mawasiliano kwa wote yameadhimishwa na kauli mbiu ikiwa ni “Mawasiliano kwa wote ni kichocheo cha kuufikia uchumi wa kati.