• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Wednesday, August 17, 2022
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Wanawake wajasiriamali kuwezeshwa kiuchumi

Bilioni 23 kuwezesha wajasiriamali Tanzania

Pesatu Reporter by Pesatu Reporter
August 2, 2022
in UJASIRIAMALI
0
Share on FacebookShare on Twitter

Benki ya CRDB imeingia makubaliano ya mkopo wa jumla ya Dola za Marekani milioni 60 (Sh138 bilioni) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ili kuwawezesha wajasiriamali nchini.

Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wajasiriamali hususani wanawake na kwenye makubaliano hayo na AfDB, CRDB itaelekeza kiasi cha Dola za Marekani milioni 50 sawa na Sh 115 bilioni katika kuimarisha mtaji wake pamoja na kusaidia mpango wa upanuzi wa kikanda za benki hiyo.

Sehemu iliyobaki ya mkopo huo ambayo ni Dola za Marekani milioni 10 sawa na Sh 23 bilioni, itaelekezwa kwenda kusaidia upatikanaji wa fedha kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini Tanzania.

Mkataba huo pia unajumuisha msaada wa kiufundi na mafunzo wenye thamani ya dola za Marekani 175,000 sawa na Sh 405 milioni ili kuimarisha uwezo wa benki hiyo kusaidia wajasiriamali wanawake nchini ili waweze kukopesheka zaidi na kuanzisha miradi ya maendeleo.

Mkataba na Mfuko wa Dhamana Afrika ni kwa ajili ya dhamana ya mikopo yenye thamani ya dola milioni 50 kwa wajasiriamali wanawake kupitia mpango wa uwezeshaji wanawake (AFAWA) unaotekelezwa na AfDB na AGF.

Aidha, Mfuko wa Dhamana ya Afrika (AGF) umeboresha mpango wake wa dhamana kwa wa Sh115 bilioni kwa benki hiyo kwa ajili ya wajasiriamali nchini.

Mpango huo unajumuisha sehemu ya dhamana ya AFAWA ya Ukuaji ili kupunguza hatari ya soko kwa wanawake wajasiriamali na kusaidia zaidi ukuaji wao. Mkataba huo umesainiwa Julai 27, 2022 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki, Nnenna Nwabufo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Dhamana Afrika, Jules Ngankam na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Abdulmajid Nsekela.

Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo, Ngankam amesema mpango huo unakwenda kuimarisha shughuli za wajasiriamali katika sekta mbalimbali nchini.

Amesema ushirikiano wa muda mrefu na benki hiyo, umekuwa chachu ya kufikiwa kwa mafanikio hayo.

“Ni imani yangu kuwa ushirikiano huu wa pande tatu baina ya AfDB, CRDB, na AGF, utakuwa na matokeo chanya zaidi hususan katika kuziba pengo la ufadhili kwa biashara za wanawake,” amesema.

ADVERTISEMENT

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB Nsekela amesema kuwa mkopo huo utaendelea kuifanya benki hiyo kuwa kimbilio la wafanyabiashara wakubwa, wa kati na wadogo ambao ni kundi kubwa linalohitaji kuwezeshwa kusonga mbele.

Naye Nwabufo amesema wajasiriamali sasa watapata fursa za uhakika za kuboresha biashara kwa kupata fedha na kwamba, itaongeza juhudi za Tanzania kuziba pengo la upatikanaji wa fedha kwa wajasiriamali wanawake ambalo linakadiriwa kufikia dola bilioni 1.6.

Tags: biasharaTanzaniaujasiriamaliwajasiriamaliwanawake
Pesatu Reporter

Pesatu Reporter

Next Post

Mbogamboga, kilimo kinachokua kwa kasi

Discussion about this post

Habari Mpya

Filamu ya the hidden Tanzania inakuja: Rais Samia

August 15, 2022
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu. Picha|Mtandao.

Wawekezaji wadau wakubwa ustawi wa uchumi: NHC

August 13, 2022

Bilioni 3 kujenga kiwanda cha parachichi Iringa

August 12, 2022
Picha| Mtandao

Serikali yataka ubunifu wa Watanzania ulindwe

August 12, 2022

Pato la utalii kupaa

August 5, 2022

Wakulima tumieni mitandao kujikwamua kiuchumi: TCRA

August 2, 2022

KUHUSU SISI

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905. PesaTu inamlenga kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anaguswa na anapenda kujua/ kufuatilia masuala mbalimbali ya kiuchumi ya nchi ikiwemo ujasiriamali, uwekezaji, viwanda, kilimo na hisa.

LATEST

Filamu ya the hidden Tanzania inakuja: Rais Samia

by Pesatu Reporter
August 15, 2022
0

Rais wa Tanzania Samia Suhulu Hassan amesema awamu ya pili ya filamu ya kuonesha utalii wa Tanzania inakuja. Rais Samia...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu. Picha|Mtandao.

Wawekezaji wadau wakubwa ustawi wa uchumi: NHC

by Pesatu Reporter
August 13, 2022
0

Wawekezaji wametajwa kuwa moja ya wadau muhimu kwa ustawi bora wa uchumi wa Tanzania na kufungua fursa za ajira kwa...

RECOMMENDED

Waziri Mwijange aja na orodha ya viwanda visivyofanya kazi

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

  Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

Nane Nane itumike kama darasa huru kwa wakulima

by Patricia Richard
March 23, 2018
0

Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...

No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In