126
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imeendelea kuhamasisha wateja kusajili laini zao kwa alama za vidole kama serikali ilivyoagiza.
Katika kuhamasisha utaratibu huo, Vodacom Tanzania imefanya ziara nyumbani kwa mama Maria Nyerere na kumsajili kwa alama za vidole ikiwa ni jitahidi ya kuhamasisha wananchi wengine wajitokeze ili wasajiliwe.