Home AJIRA Benki ya CRDB yazindua programu ya mafunzo kwa wahitimu vyuo vikuu

Benki ya CRDB yazindua programu ya mafunzo kwa wahitimu vyuo vikuu

0 comment 166 views

Benki ya CRDB imezindua programu ya mafunzo ya uongozi kwa wahitimu wa vyuo vikuu “Graduate Development Program” inayolenga kuwaandaa na kuwajenga vijana kuwa wabobevu katika masuala ya benki na uongozi.

Kwa kuanzia benki imechukua wahitimu 33 wa vyuo vikuu, watatu kutoka nchini Burundi, ambao wamekuwa wakipitishwa katika matawi, idara na vitengo mbalimbali kujifunza uendeshaji wa benki.

Programu hii ni moja ya jitihada nyingi zinazofanywa na benki hiyo katika kuwajenga vijana kushindana katika soko la ajira na kujiajiri.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter