Home Lifestyle Vodacom yahitimisha wiki ya Afya na Usalama

Vodacom yahitimisha wiki ya Afya na Usalama

0 comment 140 views

Kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania imehitimisha wiki ya Afya na Usalama kwa kutoa mafunzo na cheti kwa washiriki ambao miongoni mwao ni wafanyakazi wa Vodacom.

Vodacom imefanya hivyo katika jitihada zake kuhakikisha kwamba wafanyakazi wake wapo katika mazingira bora na kuzingatia sheria za afya na usalama makazini.

Emmanuel Mabula wa BestOne Company (shati la grey) akiwaelekeza wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc jinsi ya kutumia kifaa kimojawapo cha umeme katika hafla ya kuhitimisha wiki ya afya na usalama iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo inaendelea kutimiza wajibu wa kuhakikisha kwamba wanafanyakazi wake wapo katika mazingira bora na kuzingatia sheria za afya na usalama makazini.

Acky Charles wa Dartcom Miles (reflector ya kijani) akiwaelekeza wafanyakazi wa Vodacom Tanzania juu ya matumizi ya vifaa mbali mbali vya usalama, katika hafla ya kuhitimisha wiki ya afya na usalama iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kampuni hiyo inaendelea kutimiza wajibu wa kuhakikisha kwamba wafanyakazi wake wapo katika mazingira bora na kuzingatia sheria za afya na usalama makazini.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter