Home BENKI Benki ya Stanbic yaandaa semina ya mifuko ya pensheni

Benki ya Stanbic yaandaa semina ya mifuko ya pensheni

0 comment 127 views

Benki ya Stanbic imeandaa semina kuhusiana na mifuko ya pensheni jijini Dodoma. Semina hiyo ilihudhuriwa na wateja wa Stanbic Bank pamoja na wadau kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) na Mamlaka ya mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA).

Semina hiyo ililenga kuwaelimisha wateja wa benki hiyo kuhusu maswala mbalimbali ya fedha, mikopo na dhamana. Pia semina  ililenga kuwajumuisha wateja kwa kubadilishana mawazo na kutengeneza mtandao wa kibiashara.

Stanbic Bank Head Investor Services, Andrew Mgunda speaking to the bank’s customers during a Pensions Fund workshop held in Dodoma recently. Graced by the regulators from BoT and Social Security Regulatory Authority (SSRA), the workshop provided the customers with an understanding of Debt Market, Transactional banking with a focus on Custody Services and an opportunity to network and exchange ideas with industry peers and experts.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter