Home Elimu Vodacom yatoa mchango wa madawati 300 kwa wanafunzi 400 katika wilaya ya Bariadi

Vodacom yatoa mchango wa madawati 300 kwa wanafunzi 400 katika wilaya ya Bariadi

0 comment 139 views

Taasisi ya Vodacom Foundation imetoa mchango wa madawati 300 yenye thamani ya TZS milioni 61 kwa wanafunzi 400 katika shule ya msingi ya Salunda na Somanda wilayani Bariadi.

Taasisi hiyo imetoa mchango huo kusaidia jitihada za serikali katika kupunguza uhaba wa madawati katika shule za msingi nchini.

Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Salunda na Somanda wakiwa wamekalia madawati yaliyokabidhiwa na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, jana wilayani Bariadi mkoani Simiyu. Taasisi hiyo imetoa madawati 300 yenye thamani ya TZS milioni 61 kwa shule hizo ikiwa ni njia mojawapo ya kuisaidia serikali kupunguza uhaba wa madawati katika shule za msingi nchini.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter