Wafanyabiashara wa mbao, karafuu na mazao ya mikunde nchini wameunganishwa na soko la India ili kuuza bidhaa hizo. …
Pesatu Reporter
Shlingi bilioni 10.5 zitatumika katika utekelezaji wa mradi mkubwa wa ukarabati wa Skimu ya Umwagiliaji Masimba katika Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida. Mradi huo, unaotekelezwa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo kupitia Tume …
-
-
Serikali ya Tanzania imeazimia kuacha kusafirisha korosho ghafi ifikapo mwaka 2026/27. Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amesema …
-
Jumla ya Halmashauri 31 zimepatiwa vifaa vya kupima afya ya udongo kwa wakulima (Soil Scanner). Vifaa vilivyogaiwa ni …
-
Serikali imepanga kuzalisha miche milioni kumi kwa njia ya teknolojia ya chupa (Tissue Culture) kupitia maabara ya kisasa …
-
Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka sekta ya kilimo wanaalikwa kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya mazao ya kilimo yatakayofanyika …
-
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewaalika Watanzania kushiriki katika kongamano la Kimataifa la Mifumo ya Chakula barani Afrika. …
-
Serikali imesema ina mpango wa kutunga Sera ya Kampuni Changa za Ubunifu (startups) ili kulinda kazi za ubunifu …
-
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imejipanga kuwekeza katika rasilimali watu na fedha ili kuchochea maendeleo ya …
-
Serikali imewaalika waandaji wa Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Chakula (International Agri Food Conference and …
-
Umewahi kuona mvinyo wa majani ya mlonge na asali? “Huu ni mvinyo (wine) uliotengenezwa kwa majani ya mlonge …