Serikali imepanga kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo kwa kuelekeza rasilimali zaidi kwenye ujenzi wa miundombinu ya kilimo …
Pesatu Reporter
Thamani ya mifuko ya Kampuni ya uwekezaji ya UTT AMIS imeongezeka kutoka Shilingi trilioni 1.5354 mwezi June, 2023 hadi kufikia Shilingi trilioni 2.2382 Juni 2024. Hili ni ongezeko la Shilingi bilioni 702.8 sawa na …
-
-
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema filamu ya “The Royal Tour” imefanikiwa kwa kiwango kikubwa …
-
Serikali inakusanya takriban Shilingi Bilioni 30 kwa mwaka kutokana na Uwindaji wa kitalii nchini. Uwindaji huo ambao unachangia …
-
Tanzania inatarajia kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari ya Nchi ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, …
-
Watanzania wametakiwa kuwa na uthubutu wa kufanya biashara na kuwekeza katika maeneo mbalimbali badala ya kutegemea watu kutoka …
-
Ushirikiano baina ya Tanzania na China unawezesha utekelezaji wa Sera ya Uchumi wa buluu na utalii ambao unahusisha …
-
Bei ya mafuta ya Petroli na dizeli imeshuka kwa mwezi Julai katika mikoa inayochukua mafuta katika bandari ya …
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 24.11 sawa na ufanisi wa asilimia 97.4 ya lengo la …
-
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ametoa rai kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kushirikiana …
-
Kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024, serikali imepanga kufanya upembuzi yakinifu, usanifu wa kina na ujenzi wa bwawa la …