Lengo la serikali kuanzisha mkakati huo ni kuhakikisha mapato yanayotokana na sekta ya utalii kupitia yanaongezeka.
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
Mkurugenzi huyo amesema wamekubaliana kuhakikisha mahindi yanapata soko.
-
“Niwaombe wananchi watunze miundombinu ya maji maana ujenzi wake ni gharama”
-
Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) utarahishisha usimamiaji wa masuala mbalimbali.
-
Wajasiriamali wamejifunza hatua za ubanguaji bora wa korosho, teknolojia, usalama na afya kiwandani.
-
Lengo la serikali ni kuona kazi hiyo imekamilika hadi kufikia Januari 31.
-
Miradi hiyo ni moja ya miradi ya kimkakati ambayo inatarajiwa kunufaisha taifa.
-
Kukosekana kwa takwimu halisi za wakulima, ukubwa wa mashamba yao pamoja na mahali walipo ni changamoto kwa serikali.
-
Nyongo amewataka wamiliki hao kutoa maelezo yaliyojitosheleza kuhusu lini watakamilisha malipo ya kodi zote wanazodaiwa na serikali.
-
Shirika la ATCL linafanya safari za kimataifa katika nchi tatu za Uganda, Comoro na Burundi huku ikiwa na …