Lengo ya serikali kufanya hivyo ni kujenga nidhamu kwa waliopewa rasilimali za serikali kuzingatia masharti pamoja na taratibu …
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
“Baada ya majadiliano yaliyoanza mwaka 2013 baina ya serikali ya mapinduzi na serikali ya Ras Al Khaimah, hatimaye …
-
Mkandarasi amepewa miezi 36 ya ujenzi wa mradi huo na miezi sita ya maandalizi hivyo mradi unatarajiwa kukamilika …
-
Wadau hao ni pamoja na Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu (TOSCI), …
-
Serikali ya awamu ya tano imeanzisha mpango kurasimisha makazi holela na kuwapatia hati wananchi wote.
-
Serikali itamiliki asilimia 49 ya hisa za Airtel Tanzania baada ya mazungumzo kati ya Rais Magufuli na Mwenyekiti …
-
Zipo changamoto za kuwepo kwa wafanyabiashara wasio waaminifu kupitisha bidhaa pasipo kufuata taratibu na Sheria.
-
Aweso amemtaka mkandarasi huyo kuwepo kwenye eneo la mradi na kukagua mradi huo.
-
Serikali ina matumaini makubwa kuwa mikataba iliyosainiwa itazingatiwa kwa kufuata Sheria.
-
Ujio wa ndege hiyo ni muendelezo wa jitihada zinazofanywa na serikali kufufua Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na …