Wataalamu na wasimamizi wa mageti katika Halmashauri wametakiwa kuacha kutoza ushuru wakulima wanaosafirisha mazao chini ya tani moja ndani ya Halmashauri husika na kufuata utaratibu wa kiwango cha kutozo kisichozidi asilimia tatu ya mazao …

banner

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter