“Tuko tayari kununua dhahabu ambayo tayari iko ‘refined’ kwa sababu ndiyo kiwango ambacho kinakubalika kimataifa”
Patricia Richard
Wanawake ni kundi lenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa lolote. Mara nyingi kundi limekuwa likiachwa nyuma, suala ambalo limepelekea mchango wao wa moja kwa moja usionekane. Ili kubadili mtazamo huu, jamii inapaswa kubadilika …
-
-
“Uwekezaji uliofanywa na serikali katika sekta hii, umemaliza tatizo la kukatika kwa umeme”
-
“Wachimbaji hao wamekuwa wakishindwa kufanya upembuzi yakinifu wa mapato yao ambao husaidia benki kutathimini wanachozalisha ili waweze kukopeshwa”
-
“Rais John Magufuli anatekeleza ahadi alizowaahidi wananchi”
-
“Lengo la makusanyo kwa kipindi cha nusu mwaka Julai hadi Desemba 2018 ni Sh. 155,299,003,500. Hadi kufikia tarehe …
-
Mauzo katika soko la kikanda yameendelea kuongezeka.
-
“Watendaji wazembe ni vyema wakatupisha kwa kuwa kilimo sio suala la dharura na kina mahitaji ya kila mwaka”
-
Rais Magufuli amesema baada ya uamuzi huo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango atawasilisha marekebisho madogo …
-
Julai mwaka jana, TRA iliweka wazi vigezo sita vya kupata msamaha wa riba na adhabu kwenye malimbikizo ya …
-
Kufanya hivyo kutasaidia kuondoa changamoto za ukusanyaji mapato ya ndani.