• Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
Thursday, January 21, 2021
  • Login
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI
No Result
View All Result
Pesatu
No Result
View All Result

Dk. Kijaji: Wateja wa FBME kulipwa

Tanzania na Cyprus zinafanya mazungumzo kutatua changamoto ya wateja walioweka dhamana kwenye benki hiyo.

Patricia Richard by Patricia Richard
May 14, 2019
in BENKI
0
Dk. Kijaji: Wateja wa FBME kulipwa

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,Dk. Ashatu Kijaji.

Share on FacebookShare on Twitter

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema serikali inafanya mazungumzo na serikali ya Cyprus ili kutatua changamoto ya wateja wa FBME ambao waliweka dhamana kwenye benki hiyo iliyofutiwa leseni na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Dk. Kijaji amesema hayo bungeni Dodoma wakati akijibu swali la Asha Abdallah Juma, (Mbunge Viti Maalum) aliyehoji hatua zilizochukuliwa na serikali kuwasaidia wananchi waliokumbwa na tatizo hilo.

Katika maelezo yake, Naibu Waziri huyo amesema mchakato wa ukusanyaji mali pamoja na fedha za benki hiyo katika taasisi mbalimbali hususani za nje ya nchi limekuwa na changamoto za kisheria baina ya Tanzania na Cyprus ambapo FBME imekuwa ikiendesha sehemu kubwa ya biashara zake, hali ambayo imepelekea zoezi la makusanyo na ugawaji wa fedha za ufilisi kuchukua muda mrefu.

ADVERTISEMENT

“Hakuna tarehe rasmi ya kuanza kulipa fedha kwa sasa kutokana na uwepo wa kesi zinazokwamisha zoezi la ukusanyaji mali na madeni ya benki ya FBME”. Amefafanua Dk. Kijaji.

Pamoja na hayo, Naibu huyo amewaeleza wabunge kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Benki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2016, amana au akiba za wateja zina kinga ya  bima ya amana iwapo kiasi cha fedha ni chini ya Sh. 1.5 milioni na ikitokea mteja na kiasi salio la amana chini ya Sh. 1.5 milioni, faida yake ni asilimia 100. Kwa upande wa wateja wenye kiasi kinachozidi Sh. 1.5 milioni, watalipwa Sh. 1.5 milioni kama fidia wakati kiasi kinachosalia kikilipwa wa mujibu wa Sheria za ufilisi.

Tags: CyprusDk. Ashatu KijajiFBMEfedhasheria
Patricia Richard

Patricia Richard

Next Post
Tumia 50/20/30 kuweka akiba

Faida ya kuwekeza kwenye vikundi

Discussion about this post

Habari Mpya

Rais Magufuli atangaza ajira mpya za walimu 5,000

January 20, 2021

DStv yatangaza promosheni ‘Panda Tukupandishe’

January 19, 2021

Waziri Dk. Ndugulile aitaka TTCL kuacha kufanya biashara kwa mazoea, aipongeza

January 19, 2021

40 wavuta mkwanja Droo ya 6 NMB MastaBATA

January 19, 2021

Tiketi za mabasi sasa kwa njia ya mtandao

January 12, 2021

Watanzania wengi hawajui bima ya maisha 

January 12, 2021
No Result
View All Result
  • Home
  • FEDHA
    • MIKOPO
    • BIMA
    • HISA
  • BENKI
  • BIASHARA
    • UJASIRIAMALI
    • UWEKEZAJI
    • BIASHARA NDOGO NDOGO
  • VIWANDA
    • MIUNDOMBINU
    • NISHATI
    • UZALISHAJI
  • KILIMO
    • KILIMO BIASHARA
    • KILIMO UFUNDI
  • MAHOJIANO
  • AFRIKA MASHARIKI
    • BIASHARA
    • FEDHA
    • UJASIRIAMALI

© 2021 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Create New Account!

Fill the forms below to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In