Home HABARI ZA AFRIKA MASHARIKIUJASIRIAMALI Jinsi ya kuanzisha biashara

Jinsi ya kuanzisha biashara

0 comment 132 views

Watu wengi wamekuwa na ndoto ya kuanzisha biashara lakini wamekwama kutokana na kukosa muongozo mzuri wa kufanya hivyo. Suala la kuwa na mtaji mdogo lisikuogopeshe Zipo mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kukupa mwanga wa kufanya biashara hata kama mtaji ulionao ni mdogo. Baadhi ya mambo ya kuzingatia ni kama haya yafuatayo:

  • Chagua biashara unayotaka kufanya
  • Andaa mchanganuo wa biashara
  • Tambua uwezo na udhaifu wako
  • Pata mafunzo
  • Kuwa mbunifu
  • Jiwekee malengo
  • Fanya utafiti wa soko
  • Tafuta eneo maalum kwa ajili ya biashara yako
  • Fuatilia kanuni na taratibu zilizopo kisheria
  • Jitangaze
  • Epuka matumizi yasiyo ya lazima
  • Fahamu kuhusu upatikanaji wa bidhaa/huduma unayotaka kufanya
  • Zingatia usalama

Ukizingatia mbinu zilizoorodheshwa hapo juu, bila shaka utapata taswira kamili ya nini haswa unachotakiwa kufanya ili kutimiza lengo lako la kuanzisha biashara. Usiogope kuanza hata kama kiasi cha fedha ulichonacho ni kidogo Thubutu, fanya kazi kwa bidii na weka nidhamu. Ukizungatia hayo bila shaka utafanikiwa.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter