Sekta ya utalii inatarajiwa kuchangia Pato la Taifa kwa 19.5% ifikakapo mwaka 2025/2026.
Sekta hiyo inayokuwa kwa kasi nchini Tanzania imekuwa ikichangia Pato la Taifa kwa aslimia 17.5 na asilimia 30 ya fedha za kigeni.
Makadirio ya wadau wa sekta hiyo yanaonesha kuwa mapato ya utalii yataongezeka kwa asilimia 6.2 kuanzia sasa hadi kufika mwaka 2025.
Sekta ya utalii ni miongoni mwa sekta zinazokuwa kwa kasi nchini Tanzania. Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizindua filamu ya Royal Tour yenye lengo la kutangaza utalii.
Filamu hiyo inatajwa kuwa moja ya sababu inayosababisha watilii wa kigeni kuja nchini Tanzania.
Soma Zaidi:
Utalii ulianguka kidogo: Rais Samia
Royal Tour kuzinduliwa Marekani