Royal tour Zanzibar
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu inayoeleza utalii wa Tanzania ya Royal Tour. ...
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu inayoeleza utalii wa Tanzania ya Royal Tour. ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na kuwepo kwa maradhi ya Covid, sekta ya utalii nchini ilianguka kidogo lakini sasa ...
Baada ya kukamilika kwa programu ya uzalishaji wa filamu ya Royal Tour (Filamu inayoelezea utalii wa Tanzania) hatua inayofuata ni ...
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji wa sekta ya utalii pamoja na kuendelea kuboresha huduma za kitalii. ...
Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro inaonekana mubashara (live) kwenye maonesho ya utalii ya Exp2020 Dubai. Waziri wa Maliasili na Utallii, ...
Tanzania imetajwa kuwa ni nchi yenye nusu ya simba wote Duniani. Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI), Sven ...
Katika Maonesho ya Utalii ya FITUR yanayoendelea nchini Hispania, vivutio vya utalii vinavyopatikana nchini vimewavutia washiriki wengi. Kaimu Meneja wa ...
Licha ya kuwepo kwa janga la Covid-19 ambalo limeathiri uchumi wa nchi nyingi duniani, mapato ya sekta ya utalii Tanzania ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaiwekea thamani madini ya Tanzanite ili yapate bei kubwa sokoni. Katika mwendelezo wa kurekodi ...
Rais wa Ethiopia Salhe-Work Zewde amesema nchi yake ipo tayari kuongeza ushirikiano wa kibiashara na Tanzania kwa lengo la kukuza ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji kuanzaia mwaka wa fedha...
Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Akiwa...
Na Mwandishi wetu. Baada ya Rais John Magufuli kuonyesha kukerwa na kitendo cha Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji...
Na Mwandishi wetu Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imejitolea kuwapa mafunzo ya siku moja wakulima mkoani Lindi...