Home BENKI NMB yaja na ATM kubadili fedha za kigeni

NMB yaja na ATM kubadili fedha za kigeni

0 comment 117 views

Benki ya NMB imekuja na  ATM ya kwanza nchini ya kubadili fedha za kigeni mbapo sasa utaweza kubadilisha hadi Dola za Kimarekani 2,000 kwa wakati mmoja kwa viwango vya kubadilishia fedha vya Benki ya NMB.

ATM hiyo pia ina uwezo wa kubadilisha Euro na Pound ya Uingereza kwenda shilingi ya Tanzania.

Taarifa kutoka NMB inasema “hata kama bado hujajiunga na Benki yetu, bado ATM zetu za kubadili fedha za kigeni zitakuhusu. Kwa mara ya kwanza nchini tumekuja na mashine hizi ambazo zitawekwa katika viwanja vyote vya ndege vya Kimataifa nchini ili kufanya mapinduzi katika mifumo ya kubadilisha fedha za kigeni.”

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter