Home BENKI CRDB waendesha semina kwa wanahisa

CRDB waendesha semina kwa wanahisa

0 comment 79 views

Kuelekea Mkutano Mkuu wa wanahisa, Benki ya CRDB imeendesha semina ya elimu ya fedha na uwekezaji  kwa wanahisa wake.

Semina hiyo, ambayo imefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), imehudhuriwa na watu zaidi ya 2,000 ambapo Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba alikuwa mgeni rasmi.

Katika semina hiyo, mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwemo elimu ya fedha na uwekezaji, biashara ya hisa kidigitali, huduma ya bima ya maisha (KAVA Assuarance) pamoja na fursa za uwekezaji kupitia CRDB Wakala.

About Us

PesaTu ni kitengo cha habari cha MediaPix ambacho huandika makala za biashara na uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Waasisi wa kampuni wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia ya habari na mawasiliano wakiwa kwenye fani hio tangu mwaka 1905.

Editors' Picks

Newsletter